Pages

Tuesday, September 11, 2012

UZINDUZI WA SANTURI TANO (05) KWA PAMOJA NDANI YA KIGAMBONI

Timu nzima ya TAMADUNIMUZIK inatarajia kuzindua santuri tano kwa pamoja, siku ya jumamosi ya tatehe 15/09/2012 kuanzia saa mbili kamili usiku (02:00). Uzinduzi huo utafanyika ndani ya Kakala club(Kigamboni) kwa kiingilio cha shilingi elfu sita tu(6000). Nakala za santuri zitapatikana kwa shilingi elfu tatu tu na pia fulana za TAMADUNIMUZIK zitapatikana hapohapo.


No comments:

Post a Comment