Pages

Monday, September 17, 2012

HUYU NDIYE RAY TEKNOHAMA.

KWA WALE WASIO MFAHAMU,HUYU NDIYE RAY TEKNOHAMA,MTAYARISHAJI WA VIBAO KAMA,MAALIM,VINA MPAKA UCHINA NA V.V.U,MZALIWA WA KAHAMA NA SASA ANA MUDA MREFU AKIWA NA STUDIO YAKE YA BANTU RECORDS,MIVINJENI KURASINI NA ANAPATIKANA NDANI YA TAMADUNIMUZIK.KWA VIBAO KADHAA ALIVYOTAYARISHA,UWEZO WAKE UMEONEKANA WAZI KWAMBA HUYU MTU NI GAIDI WA MIDUNDO!HUU NDIO WASIFU WAKE MFUPI TU!KAENI TAYARI KWA MENGI YA HUYU JAMAA!


2 comments:

  1. aseeeee meskia dak mbili yaan kama mbele bonge mkono big up sana

    ReplyDelete
  2. aseeeee meskia dak mbili yaan kama mbele bonge mkono big up sana

    ReplyDelete