Pages

Friday, September 21, 2012

MJOMBA UCHEBE KWENYE EAST AFRICA RADIO

MJOMBA UCHEBE,LEO KWENYE EAST AFRICA RADIO,KWENYE KIPINDI CHA POWER JAMS,NILIPOKUA NIKITOA DAAWA NA NASAHA ZA HIP HOP,KWA WALIOSIKILIZA WAMENITUMIA UJUMBE SANA KWA FAIDA WALIOIPATA LEO NA KWA WALE AMBAO HAWAKUBAHATIKA KUSIKIA,BAADA YA SAA KADHAA WAPITIE KWENYE BLOGU YANGU www.nashemcee.blogspot.com WATAYAONA MAHOJIANO HAYO KUPITIA VIDEO!AMANI KWA P THE EMCEE NILIKUA NAE PIA NA MANI KWENU MARAFIKI WOTE HAPA MTANDAONI!OIIIIIIIIII!




No comments:

Post a Comment