PICHA ZIKIONESHA NASH EMCEE NIKIWA KATIKA UTAYARISHAJI WA VIDEO YA MZIMU WA SHAABANI ROBERT WIMBO AMBAO UMEBEBA JINA LA SANTURI YANGU. KAMA INAVYOJULIKANA NASH EMCEE NDIE MSANII EMCEE PEKEE AMBAE AMEKUA MSTARI WA MBELE KATIKA KUDUMISHA NA KUSISITIZA MATUMIZI YA KISWAHILI KWENYE SANAA YA TANZANIA, KATIKA VIDEO HIYO UTAONA VITABU VYA HAYATI SHAABAN ROBERT NA KAZI ZINGINE ZA KISWAHILI CHINI YA MUONGOZAJI NTULY AMANI WA BONGOLAND VIDEOS. TAARIFA KAMILI KUENDELEA KUTOLEWA HAPA. USIKOSE KUPITIA KILA BAADA YA SAA KADHAA KWA HABARI MPYA. PAMOJA!
No comments:
Post a Comment