NGOME KUBWA YA HIP HOP,KUTOKA TAMADUNIMUZIK,AMBAYO INAJUMUISHA WACHENGUAJI WA 4,NASH EMCEE,P THE MC,SONGA & ZAIID KWA PAMOJA TUNAJULIKANA KWA CHATA LA MIRABA MI 4!TUNAKARIBIA KUTOA WIMBO MPYA,AMBAO UTATAYARISHWA NA RAY TEKNOHAMA,ALIEPIGA KAZI YA VINA MPAKA UCHINA AMBAO NDIO ULIKUA WIMBO WA KWANZA WA MIRABA MI 4!CHINI YA STUDIO YA BANTU RECORDS!WIMBO HUO UNAITWA,MIRA-BANIAN!WAPENZI NA MASHABIKI WA MIRABA MI 4 KAENI KWA SIKIO LA KISIKIA KAZI NZURI YA HIP HOP KUTOKA KWETU!AMANI KWENU.
No comments:
Post a Comment