Pages

Tuesday, October 9, 2012

KUTOKA TAMADUNIMUZIK,HABARI NZUUUUUUUUUURI HII HAPA SASA,MCHENGUAJIMSHIRIKA WA KARIBU YETU,MPOLE ASIE NA MAMBO MENGI,AKIGONGA VIWALO VYA HIP HOP ZINAMKAA,ANA UMBO KUBWA LA KINYAMWEZI,HAHAHHAHAA!HIVI KARIBUNI AMEACHIA WIMBO WA NA P THE EMCEE,UITWAO MICHANO!HUYU JAMAA BAADA YA KUKAA KIMYA MAIAK MINGI BILA KUTOA SANTUR YOYOTE SASA KUPITIA JESHI HAI LA TAMADUNIMUZIK,ANAACHIA SANTURI(ALBUM) YAKE SIKU SI NYINGI KUANZIA LEO!MSHAMJUAAAAAAAAAAAA?HEBU NIAMBIENI NI NANI?

1 comment:

  1. ᐈ Casino site ᐈ Get 30 Free Spins No Deposit Bonus
    'slot machine game machine' free spins - Casino bonus code: 30FREEBUSINESS. Get 30 Free Spins No Deposit Bonus luckyclub on 'Slot Machine'

    ReplyDelete