Pages

Tuesday, October 9, 2012

MAMBO TUNAYOFANYIWA WASANII KWENYE HII SANAA YA KITANZANIA NAONA KAMA TUNGEKUA NA RADIO YETU AU CHOMBO HURU CHA KWENDA KUSEMEA BASI TUNGEANIKA MAMBO MENGI HADHARANI KWA KUA TUNAPOANDIKA FACEBOOK MNADHANI TUNATAFUTA UMAARUFU AU TUNAWAKANDAMIZAWATANGAZAJI NA MA DJ,UKWELI NI KWAMBA,WAPO WANAMUZIKI WAKALI ZAIDI YANGU LAKINI UNAWEZA USIMSIKIE MPAKA UNAKUFA KAMA UTASUBIRIA KAZI ZAKE RADIONI AU TV,MASHABIKI MNAPASWA KUTAMBUA KUA UTAMADUNI WA HIP HOP ULIKUJA KUKOMBOA NA KULETA USAWA KWENYE MATATIZO KAMA HAYA,JIFUNZENI MJUE HILO,HIP HOP HAIKUANZISHWA RADIONI NA WALA HAIKUSTAWI KWA (AIRTIME) TUNAWAOMBA MTUUNGE MKONO MPAKA MWISHO WA JASHO LENU LA MWISHO NA SISI TUPO NA NYIE MPAKA KIFO!

No comments:

Post a Comment