Pages

Monday, September 3, 2012

TAMADUNIMUZIK NDANI YA MWANZA.

Timu nzima ya TAMADUNIMUZIK inatarajiwa kuzindua santuri 5 kwa pamoja ndani ya jiji la Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba tarehe 16/09/2012. Kwa wakazi wa jiji la Mwanza hii itakua ni onesho lenu la kwanza la HIP HOP kama sikosei.

No comments:

Post a Comment