Pages

Sunday, September 2, 2012

Sikiliza wimbo mpya wa Nash Emcee HAKI MISTARI na sasa nipo njiani kutayarisha kandamseto yangu ya pili iitwayo DIWANI YA MAALIM na video ya wimbo huu inakaribia kuwa hewani siku si nyingi. Ukimaliza sikiliza toa maoni yako. FACEBOOK (MAALIM NASH), TWITTER (@NASHEMCEE)  

No comments:

Post a Comment