, Baada ya ukimya mrefu kiasi sasa blogu hii yaanza rasmi kuwaleteeni
habari kuhusu wasanii wa HipHop Tanzania, Harakati zao, bidhaa zao mfano (santuri (albums), kandamseto (mixtapes), fulana zao
(t-shirts), mashairi ya tungo zao (lyrics), makala elimishi, chambuzi makini za
kazi zao za sanaa n.k, ushirikiano wako ni muhimu katika kutoa maoni juu ya kile tunaweka yaani pachiko
zetu (posts), mwambie mpenda HIPHOP yeyote wakweli juu ya hili,
HABARI IFIKE MBALI.
No comments:
Post a Comment