Pages
▼
Monday, September 9, 2013
JIFUNZE MENGI KUHUSU HIPHOP ---- kupitia blogu hii nashemcee.blogspot.com
HIPHOP umekuwa ni utamaduni au nyenzo adhimu kabisa
ambao unawaunganisha watu wa aina mbalimbali hapa duniani
hasa kwa wale wanaoishi katika misingi yake,kwani mbali
na kuburudisha hadhira yake,umekuwa ni utamaduni wa kuyaangazia
mambombali katika jamii zetu kwa jicho ang'avu lisilo na shaka
na kujaribu kutoa suluhu au kuchokoa mambo mbalimbali na kuwaacha
watu wakiwa katika tafakuri la kipi wakifanye baada ya kuupata ukweli
kupitia HIPHOP,thibitisha hili kwa kurejelea kibao cha ''NASH MC''
Kaka Suma na vingine vingi adhimu.
Kila kitu kizuri huwa na changamoto nyingi mfano.ni hili
watu wanaojiita WANAHIPHOP kutojifunza zaidi na kufata misingi ya
utamaduni huu,hivyo ni wajibu wetu kujifunza ukweli na undani wake,AKHSANTE.
No comments:
Post a Comment