Pages

Monday, October 22, 2012

KINA KIREFU ITAKUWA MTAANI JUMATANO HII.

KAMA TULIVYOAHIDI NDUGU WAPENZI NA WAKEREKETWA WA RECORD LEBEL YA TAMADUNIMUZIK NA SI KUNDI KAMA MNAVYODHANI,SANTURI YA MANSU LI,NYOTA WA SINZA AU MZEE WA KUGONGA MIKATO YA DICKIES,IITWAYOKINA KIREFU ITAKUA MTAANI KUANZIA JUMATANO HII,MPIGIE MANSU LI KWA NAMBA 0784 35 16 67 AU NASH MC 0769 52 23 46,TAFADHALI PIGA NAMBA HIZO KAMA UTAHITAJI CD NA SIO VINGINE.NA WALE WA MIKOANI KUANZIA JUMATATU TUTATANGAZA WAENDE WAPI KWENYE MIKOA YAO!TAMADUNIMUZIK MILELE


No comments:

Post a Comment