Pages

Thursday, October 4, 2012

KANDAMSETO YA SONGA NA BALOZI WA GHETTO IPO MTAANI.

HAWA NI SONGA NA BALOZI WA GHETTO NI WACHENGUAJI WENZANGU NDANI YA TAMADUNIMUZIK.WANA UWEZO BORA WA KUGHANI MASHAIRI YENYE ISTILAHI ZILIZOBEBA TAMBO NA TAHARIRI ZA UHAKIKA NDANI YA UWANJA WAO WA MITAMBAO JUU YA MIDUNDO INAYOKITA NA VUMO ZA KIAFRIKA ZILIZOPIKWA NA WATAYARISHAJI MAKINI KABISA.VIJANA HAWA WANA KANDAMSETO YAO WALIYOIPA JINA,MATHEMATRIX,MIMI NAPENDA KUIITA KWA KISWAHILI,HESABU MBINU!INAPATIKANA MTAANI KWA SH.3000 TU!PIGA SASA 0656 33 77 57 AU 0658 52 87 87.AMANI KWENU!


No comments:

Post a Comment