Pages

Thursday, August 30, 2012

UZINDUZI WA SANTURI TANO (05) KWA PAMOJA.

UZINDUZI WA SANTURI TANO KWA PAMOJA.
SAUTI YA JOGOO ya NIKKI MBISHI | SOGA ZA MZAWA ya ONE (THE INCREDIBLE) | AFRICAN SON ya STEREO | MATHEMATRIX ya SONGA na BALOZI WA GETO | UNDERGROUND LEGENDARY ya DUKE TACHEZ.

WAKISHIRIKISHWA:
NASH EMCEE | LIL K | AZMA | CLINT FEICER | P THE EMCEE | MAD KACHAA | KAD GO.

Siku ya Ijumaa mwezi wa nane tarehe 31 New Msasani Club { 31/08/2012} Kwa kiingilio cha shilingi za kitanzania elfu 5000 tu, kuanzaia saa 9 alasiri mpaka hadi 4 usiku.

No comments:

Post a Comment