Pages

Thursday, August 30, 2012

NASH EMCEE, GODZILLA NA NIKKI WA PILI 3

Nash Emcee akisisitiza matumizi ya lugha ya Kiswahili katika sanaa nzima za Tanzania, akiwa na Godzilla na Nikki Wa Pili kwenye studio za clouds fm.
Katika mjadala huo ambao Nash Emcee alionekana ndie mwenye mantiki kwa kile alichokua anaongea juu ya matumizi ya kiswahili kwenye muziki wetu.  

No comments:

Post a Comment